VIBA NATION MAWAZO X FULA BYTEL (TRUE STORY)

Maisha Nimazito Wewe Beba sitoweza, Mi kwao kama mzigo ndio maana wameniacha, wamanzi no sinamvuto ndio sababu Mimi nawaeleza, walinipaga changa moto, penzi nahisi mziba, nimetekwa na dunia Leo wananiona mi sichochote, licha ya kugharamia Leo wananitema matee wamesahau tulipo…

VIBA NATION MAWAZO  X  FULA  BYTEL (TRUE STORY)

Source

0
(0)

Maisha Nimazito Wewe Beba sitoweza, Mi kwao kama mzigo ndio maana wameniacha, wamanzi no sinamvuto ndio sababu Mimi nawaeleza, walinipaga changa moto, penzi nahisi mziba, nimetekwa na dunia Leo wananiona mi sichochote, licha ya kugharamia Leo wananitema matee wamesahau tulipo tokea na wao Leo wananidharau wananipa mawazo, Mimi nimechoka dala dala ninataka Car niendeshe Mimi mwenyewe fala fala Yule Ali Viba Mbebeshe, nitawapata wapi patala wamenisukuma,

(Mawazo hayanishi kichwani)
(Wanazo wananiona burukwani)
(Mawazo hayanishi kichwani)
(Wanazo hayanishi kichwani)

Viba ni siku nyingi hatujakongana, ni vipi maisha mutaani yanakupeleka, life manze ni pandashuka kuteleza ni moja yabo ya maisha, ng’ang’ana bambana upate chako chasho lako, akuna chakutekemea wenzako, life na reso sinafanana bila chasho presha ya pesa itakupata miadarati kufuta bangi wada na shada mtu wangu itabidi aah, tiabidi kwa kila kazi na bila shaka milango sitafunguka yeah,

(Mawazo hayanishi kichwani)
(Wanazo wananiona burukwani)
(Mawazo hayanishi kichwani)
(Wanazo wananiona burukwani)

Fula b Yale umesema niukweli umenipa morali niliokua nao kama mabeshite walinivunja moyo, wazazi nao wamenionya eri niwachane nao, walinipaga changa moto life nahisi msiba, nanimechoka dala dala ninataka car niendeshe mi mwenyewe fala fala yule Ali Viba mbebeshe, nitawapata wapi badala wamenisukuma,

(Mawazo hayanishi kichwani)
(Wanazo wananiona burukwani)
(Mawazo hayanishi kichwani)
(Wanazo wananiona burukwani)

(Mawazo hayanishi kichwani)
Wanazo wananiona burukwani)

Maisha mfiringo usinidharau sababu umepata, ni Viba Nation Na Fula B, Produced Ronny Tuko pamoja brother?
TO BE CONTINUED

0 / 5. 0